Glenn Theodore Seaborg ( 19 Aprili 1912 ? 25 Februari 1999 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza elementi nzito sana. Mwaka wa 1951 , pamoja na Edwin McMillan alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .