Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Glenn Feidanga
Ni mchezaji wa
mpira wa kikapu
wa
Afrika ya Kati
ambaye alicheza
mpira wa kikapu
katika chuoni Long Island Brooklyn Blackbirds.
[1]
Feidanga aliteuliwa katika kikosi cha awali cha
Jamhuri ya Afrika ya Kati
kwa AfroBasket mwaka
2015
na kocha mkuu Aubin-Thierry Goporo.
[2]
- ↑
"Sherene Williams - 2022-23 - Women's Track and Field"
.
Long Island University
(kwa Kiingereza)
. Iliwekwa mnamo
2022-09-02
.
- ↑
"Nakala iliyohifadhiwa"
. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2015-07-20
. Iliwekwa mnamo
2022-09-02
.