Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Giresun
(
Kigiriki
: Κερασο?ντα,
Pharnacia
,
Choerades
) ni jina la mji mkuu wa
Mkoa wa Giresun
katika kaskazini-mashariki ya Ukanda wa
Bahari Nyeusi
huko nchini
Uturuki
. Takriban 175 km kutoka magharibi mwa jiji la
Trabzon
. Mji una wakazi wapatao 90,000.
|
---|
| |
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Giresun
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|