Gerhard Johannes Paul Domagk ( 30 Oktoba 1895 ? 24 Aprili 1964 ) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani . Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali, na kuchapa kazi kwa ajili ya tiba ya kikemia kukomesha magonjwa kama kifua kikuu na kansa . Mwaka wa 1939 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .