Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
![](//upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/68/George_Gershwin_1937.jpg/220px-George_Gershwin_1937.jpg)
George Gershwin
(
26 Septemba
1898
?
11 Julai
1937
) alikuwa mtungaji wa muziki na mpiga kinanda kutoka nchi ya
Marekani
. Alitunga nyimbo nyingi zilizoathiriwa na mitindo ya
Jazz
. Pia alitunga
opera
moja iitwayo
Porgy na Bess
. Aliaga dunia mapema baada ya kupatwa na kansa ya ubongo. Mwaka wa 1998 alituzwa tuzo maalumu ya
Tuzo ya Pulitzer ya Muziki
kwa kazi ya maisha yake, yaani baada ya kifo chake.
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
George Gershwin
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|