Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Gordon Byron, 6th Baron Byron
(
22 Januari
1788
?
19 Aprili
1824
) alikuwa mshairi na mwandishi mashuhuri nchini
Uingereza
. Mara nyingi anatajwa kwa cheo chake cha kikabaila kama
Lord Byron
.
Alikuwa mrithi wa mali kubwa hivyo aliweza kuendesha maisha kufuatana na mapenzi yake tu. Alikuwa maarufu kwa wapenzi wake wengi. Pamoja na kuandika alisafiri mahali pengi katika nchi za
Bahari ya Mediteranea
.
Tangu 1816 alihamia
Italia
alipojiingiza katika kundo la kisiasa lililolenga kuanzisha mapinduzi dhidi ya utawala wa
Austria
katika Italia ya Kaskazini. Aliamriwa kukaa katika mji wa Pisa bila kibali cha kutoka nje akatumia muda kwa mashairi.
1823 alipokea wito kutoka
Ugiriki
akawa kiongozi wa jeshi la Wagiriki waliopigania vita ya Uhuru dhidi ya
Waturuki Waosmani
. Hapa alikufa 1824 baada ya kungonjeka. Wagiriki wanamkumbuka hadi leo kama msaidizi wa uhuru wao.
- Pictures of Byron's Walk, Seaham, County Durham
Archived
15 Machi 2008 at the
Wayback Machine
.
- Poems by Lord Byron at PoetryFoundation.org
- Podcast?Listen Live or download Audio of Childe Harold's Pilgrimage by Lord Byron
- A Website of the Romantic Movement
Archived
24 Julai 2008 at the
Wayback Machine
.
- Works by George Byron
katika Project Gutenberg
- The Byron Society
- The Byron Society's Journal
Archived
11 Februari 2021 at the
Wayback Machine
.
- The International Byron Society
Archived
22 Septemba 2014 at the
Wayback Machine
.
- Byron's Grave
- Detailed site on Newstead Abbey, Byron's ancestral home, and on Byron's life in general
- Hucknall Parish Church, Byron's final resting place
Archived
1 Mei 2010 at the
Wayback Machine
.
- Statue of Byron at Trinity College, Cambridge
- Complete list of Byron poetry
- The Byron Cronology
Archived
7 Aprili 2010 at the
Wayback Machine
.
- Childe Harold's Pilgrimage
Archived
8 Julai 2008 at the
Wayback Machine
.
- Discussion of Byron's homosexuality
Archived
11 Aprili 2014 at the
Wayback Machine
.
- Byron's Poetical Works, Vol. 1
Archived
11 Oktoba 2004 at the
Wayback Machine
.
- Byron's Poetical Works, Vol. 6
- The Works Of Lord Byron, Letters and Journals, Vol. 1
Archived
8 Julai 2008 at the
Wayback Machine
.
- The Works of Lord Byron: Letters and Journals, Vol. 2
Archived
11 Oktoba 2004 at the
Wayback Machine
.
- Byron's 1816-1824 letters to Murray and Moore about Armenian studies and translations
- The biography
Byron
Archived
15 Oktoba 2008 at the
Wayback Machine
.
by
John Nichol
- Byron quotes
- Lord George Gordon Byron?Biography & Works
Archived
7 Desemba 2004 at the
Wayback Machine
.
- Centre for Byron Studies, University of Nottingham
Archived
2 Februari 2004 at the
Wayback Machine
.
- The first Full English translation of Fantasmagoriana (Tales of The Dead)
- Byron page on The Literature Network
- Films based on Byron's life and works
- 2003 television dramatization of Byron's life by the
BBC
- Detailed account of Byron's love for animals
- Inscription on the monument to Boatswain, Byron's dog
Archived
24 Mei 2008 at the
Wayback Machine
.
- More on Byron's Newfoundland dogs
- Byron manuscripts at the Harry Ransom Center, The University of Texas
Archived
6 Juni 2010 at the
Wayback Machine
.
- George Gordon, Lord Byron
at Find-A-Grave
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
George Byron
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|