Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gary Alexander Neville
(amezaliwa
18 Februari
1975
) ni
kocha
wa
mpira wa miguu
wa
Uingereza
.
Amestaafu
soka
lake katika
klabu
ya
Manchester United
ya Uingereza na kwa sasa ni kocha wa mpira wa miguu.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Gary Neville
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|