Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya sehemu za Galilaya
Galilaya
(kutoka
Kiebrania
????? (
ha-galil
), yaani "mzunguko" au "mkoa"; kiasili "galil ha-goyim - mkoa wa wapagani")
ni
mkoa
maarufu
kihistoria
upande wa kaskazini mwa
Israeli
au
Palestina
.
Upande wa mashariki mpaka wake ni
mto
Yordani
, ambao sehemu hiyo unaunda
ziwa Genesareti
(pia: bahari ya Galilaya).
Waisraeli
walipotoka
Misri
na kuteka nchi ya
Kanaani
, katika mkoa huo walihamia watu wa ma
kabila
ya
Dan
,
Zebuluni
,
Isakari
na
Naftali
.
Galilaya ndio mkoa ambapo alikulia na kuanza
utume
wake
Yesu
, mwanzilishi wa
Ukristo
.
Kati ya miji na vijiji vya Galilaya vilivyotajwa katika
Injili
kuna: