Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fuu
(pia
furu
) ni
tunda
lilikalo la
mti
mfuu
ambao unakua
porini
lakini kupandwa katika
bustani
na
mbuga
pia. Mara nyingi mafuu mabivu huwa
meusi
au ya
rangi
ya
zambarau
iliyokoza.
|
Makala hii kuhusu
"Fuu (tunda)"
ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
|