Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Funguvisiwa la Britania
ni
kundi
la
visiwa
vya
Ulaya
ya
kaskazini
-
magharibi
.
Jumla ni visiwa zaidi ya 6,000 vyenye eneo la
km²
315,134, lakini ni hasa visiwa viwili vikubwa, vichache vya
wastani
na vingi vidogo.
Visiwa vikubwa ni hasa:
Visiwa vidogo kiasi ni:
Wakazi ni 71,881,243 (
2018
).
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ulaya
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Funguvisiwa la Britania
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|