Fritz Haber ( 9 Desemba 1868 ? 29 Januari 1934 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani . Pamoja na utafiti mwingine alichunguza maswali ya kemia ya umeme . Mwaka wa 1918 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .