Frederick Reines ( 16 Machi 1918 - 26 Agosti 1998 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani . Hasa anajulikana kwa kugundua nyutrino . Mwaka wa 1995 , pamoja na Martin Lewis Perl alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .