Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Florini
ni dutu sahili na
halojeni
simetali
.
Namba atomia
yake ni 9. Katika mazingira yetu kawaida iko katika hali ya
gesi
yenye rangi njanokijani. Alama yake ya kikemia ni
F
.
Kwa kawaida hupatikana kama molekuli ya F2. Kati ya
elementi
zote
mmenyuko
wake wa
oksidisho
ni kali sana. Tabia hii inasababisha Florini kuwa sumu kali. Inamenyuka vikali na karibu elementi zote.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
kemia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Florini
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|