Waraka kwa Wafilipi
ni kati ya
vitabu
27 vya
Agano Jipya
katika
Biblia ya Kikristo
.
Kama vitabu vingine vyote vya
Biblia
, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa
historia ya wokovu
ili kukielewa kadiri ya
maendeleo
ya
ufunuo
wa
Mungu
kwa
binadamu
.
Kadiri ya
Mwinjili Luka
,
Kanisa
la
Filipi
(leo katika
Ugiriki
Kaskazini
) lilikuwa la kwanza kuundwa na
Mtume Paulo
barani
Ulaya
. Akiwa
shahidi
wa tukio hilo, alisimulia hivi:
Mdo
16:11 Basi tukang’oa nanga kutoka Troa, tukafika Samothrake kwa tanga moja, na siku ya pili tukafika Neapoli; 12 na kutoka hapo tukafika Filipi, mji wa Makedonia, mji ulio mkuu katika jimbo lile, mahali walipohamia Warumi; tukawa katika mji huu, tukikaa siku kadha wa kadha. 13 Hata siku ya sabato tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusali; tukaketi, tukasema na wanawake waliokutana pale. 14 Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo. 15 Hata alipokwisha kubatizwa, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae. Akatushurutisha.
Katika
Matendo ya Mitume
Luka hakusimulia
mateso
yote ya
Mtume Paulo
, kwa mfano alivyohukumiwa mwaka
56
hivi
Efeso
(
1Kor
15:32;
2Kor
1:8-9).
Akiwa kifungoni huko alifikiwa na
mjumbe
toka
Filipi
aliyemletea msaada wa
pesa
na wa
huduma
kwa niaba ya
Wakristo
wa
mji
huo wa
mkoa
wa
Makedonia
.
Paulo kabla hajamrudisha alipenda kuwaandikia
barua
nzuri ya
shukrani
pamoja na kuwaeleza sababu ya kufungwa (Fil 4:10-20).
Barua ni nzuri pia kutokana na uhusiano wa
upendo
kati ya Paulo na
Wakristo
hao, ambao kati yao
wanawake
walishika nafasi ya pekee toka mwanzo (hasa
Lidia wa Thiatira
).
Tunaona wazi Paulo alivyokuwa na
furaha
hata kifungoni, kwa kuwa alizoea kuridhika na kila hali: kwake muhimu ilikuwa tu kumfikia
Yesu Kristo
.
Kama kawaida
mawaidha
hayakosekani, lakini si makali: hasa alihimiza
umoja
kwa kufuata mfano wa
Yesu
aliyejishusha kutoka
Umungu
wake hadi kukubali
kifo
cha
msalabani
.
Kwa ajili hiyo alitumia maneno ya
wimbo
ambao unadhihirisha
imani
kamili katika umungu wa
Kristo
, ingawa ni kati ya zile za kwanzakwanza kutungwa (Fil 1:12-3:1a; 4:4-7).
Lakini kuna sehemu kali kuhusu
wazushi
ambayo inaanza ghafla (Fil 3:1b-4:1) na kufanya baadhi ya
wataalamu
wadhani kuwa barua jinsi ilivyo tangu
karne I
ni
mshono
wa barua
mbili
au
tatu
za
mtume
huyo kwa Wafilipi.
- Abrahamsen, Valerie (Machi 1988). "Christianity and the Rock Reliefs at Philippi".
Biblical Archaeologist
.
51
(1): 46?56.
doi
:
10.2307/3210038
.
CS1 maint: date auto-translated (
link
)
- Barclay, William. 1975.
The Letters to the Philippians, Colossians, and Thessalonians
. Rev. ed. Daily Bible Study Series. Louisville, Ky.: Westminster.
- Barnes, Albert. 1949.
Ephesians, Philippians, and Colossians
. Enlarged type edition. Edited by Robert Frew. Grand Rapids, Mich.: Baker.
- Black, David A. 1995. "The Discourse Structure of Philippians: A Study in Textlinquistics."
Novum Testamentum
37.1 (Jan.): 16?49
- Blevins, James L. 1980. "Introduction to Philippians."
Review and Expositor
77 (Sum.): 311-25.
- Brooks, James A. 1980. “Introduction to Philippians.”
Southwestern Journal of Theology
23.1 (Fall): 7?54.
- Bruce, Frederick F. 1989.
Philippians
. New International Biblical Commentary. New Testament Series. Edited by W. Ward Gasque. Peabody, Mass.: Hendrickson, 2002.
- Burton, Ernest De Witt. 1896. “The Epistles of the Imprisonment.”
Biblical World
7.1: 46?56.
- Elkins, Garland. 1976. “The Living Message of Philippians.” Pages 171?80 in
The Living Messages of the Books of the New Testament
. Edited by Garland Elkins and Thomas B. Warren. Jonesboro, Ark.: National Christian.
- Garland, David E. 1985. “The Composition and Unity of Philippians: Some Neglected Literary Factors.”
Novum Testamentum
27.2 (April): 141-73.
- Hagelberg, Dave. 2007.
Philippians: An Ancient Thank You Letter ? A Study of Paul and His Ministry Partners’ Relationship
. English ed. Metro Manila: Philippine Challenge.
- Hawthorne, Gerald F. 1983.
Philippians
. Word Biblical Commentary 43. Edited by Bruce Metzger. Nashville, Tenn.: Nelson.
- Herrick, Greg.
“Introduction, Background, and Outline to Philippians.”
Bible.org
.
- Jackson, Wayne. 1987.
The Book of Philippians: A Grammatical and Practical Study
. Abilene, Tex.: Quality.
- Kennedy, H. A. A. 1900. “The Epistle to the Philippians.”
Expositor’s Greek Testament
. Vol. 3. Edited by W. Robertson Nicoll. New York, NY: Doran.
- Lenski, Richard C. H. 1937.
The Interpretation of St. Paul’s Epistles to the Galatians, to the Ephesians, and to the Philippians
. Repr. Peabody, Mass.: Hendrickson, 2001.
- Lipscomb, David and J.W. Shepherd. 1968.
Ephesians, Philippians, and Colossians
. Rev. ed. Edited by J.W. Shepherd. Gospel Advocated Commentary. Nashville, Tenn.: Gospel Advocate.
- Llewelyn, Stephen R. 1995.
“Sending Letters in the Ancient World: Paul and the Philippians.”
Tyndale Bulletin
46.2: 337?56.
- Mackay, B. S. 1961. “Further Thoughts on Philippians.”
New Testament Studies
7.2 (Jan.): 161-70.
- Martin, Ralph P. 1959.
The Epistle of Paul to the Philippians
. Tyndale New Testament Commentaries. Ed. By R.V.G. Tasker. Grand Rapids, Mich.: Eerdmans, 1977.
- Martin, Ralph P. 1976.
Philippians
. New Century Bible Commentary. New Testament. Edited by Matthew Black. Repr. Grand Rapids, Mich.: Eerdmans.
- McAlister, Bryan. 2011. “Introduction to Philippians: Mindful of How We Fill Our Minds.”
Gospel Advocate
153.9 (Sept.): 12?13
- Mule, D. S. M. (1981). The Letter to the Philippians. Cook Book House.
- Muller, Jacobus J. 1955.
The Epistle of Paul to the Philippians
. New International Commentary on the New Testament. Ed. By Frederick F. Bruce. Grand Rapids, Mich.: Eerdmans, 1991.
- Pelaez, I. N. (1970). A Epistle on the Philippians. Angel & Water;reprint, Angels new books, ed. Michael Angelo. (1987). Peabody, MA: Hendrickson.
- Dictionary of Paul and His Letters
, s.v. "Philippians, Letter to the"
- Reicke, Bo. 1970.
“Caesarea, Rome, and the Captivity Epistles.”
Pages 277?86 in
Apostolic History and the Gospel: Biblical and Historical Essays Presented to F. F. Bruce
. Edited by W. Ward Gasque and Ralph P. Martin. Exeter: Paternoster Press.
- Roper, David. 2003.
“Philippians: Rejoicing in Christ.”
BibleCourses.com
. Accessed: 3 Sept. 2011.
- Russell, Ronald. 1982.
"Pauline Letter Structure in Philippians."
Journal of the Evangelical Theological Society
25.3 (Sept.): 295?306.
- Sanders, Ed. 1987. “Philippians.” Pages 331?39 in
New Testament Survey
. Edited by Don Shackelford. Searcy, Ark.: Harding University.
- Sergio Rosell Nebreda,
Christ Identity: A Social-Scientific Reading of Philippians 2.5?11
(Gottingen, Vandenhoeck & Ruprecht, 2011) (Forschungen zur Religion und Literatur des Alten und Neuen Testaments, 240).
- Swift, Robert C. 1984.
"The Theme and Structure of Philippians."
Bibliotheca Sacra
141 (July): 234-54.
- Synge, F.C. 1951.
Philippians and Colossians
. Torch Bible Commentaries. Edited by John Marsh, David M. Paton, and Alan Richardson. London: SCM, 1958.
- Thielman, Frank. 1995.
Philippians
. NIV Application Commentary. General Editor. Terry Muck. Grand Rapids, Mich.: Zondervan.
- Vincent, Marvin R. 1897.
The Epistle to the Philippians and to Philemon
. International Critical Commentary. Ed. By Samuel R. Driver, Alfred Plummer, Charles A. Briggs. Edinburgh: Clark, 1902.
- Vincent, Marvin R.
Vincent’s Word Studies in the New Testament
. 4 vols. Peabody, Mass.: Hendrickson, n.d.
- Wallace, Daniel B.
“Philippians: Introductions, Argument, and Outline.”
Bible.org
.
- Walvoord, John F. 1971.
Philippians: Triumph in Christ
. Everyman’s Bible Commentary. Chicago, Ill.: Moody.
- [1]
Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
|
Makala hii kuhusu mambo ya Agano Jipya bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Waraka kwa Wafilipi
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|