Ferid Murad (amezaliwa 14 Septemba , 1936 ) ni mwanakemia na daktari kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza mawasiliano ndani ya seli . Mwaka wa 1998 , pamoja na Robert Furchgott na Louis Ignarro , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .