Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Farao
(kwa
Kimisri
jumba
. Katika
lugha
ya
Kiswahili
linatumika pia jina
Firauni
) lilikuwa
jina
la
heshima
ambalo kila
mfalme
wa
Misri ya kale
alipewa. Jina hilo lilitumika hadi
Warumi
walipoiteka Misri
mwaka
30 KK
. Kabla ya hapo, wafalme wa kale wa Misri walikuwa na majina matatu: Horus, Nesu Bety na Nebty.
Maarufu zaidi ni
Ramses II
aliyekuwa farao wa masimulizi ya
Biblia
na
Kurani
kuhusu
Musa
, pamoja na
Tutankhamun
ambaye ni farao pekee ambaye
kaburi
lake limehifadhiwa hadi leo bila kuporwa na majambazi.
Farao wa mwisho alikuwa
malkia
Kleopatra
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Farao
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|