Elias James Corey (amezaliwa 12 Julai 1928 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza mambo ya usanisi . Mwaka wa 1990 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .