Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ekumeni
ni
tapo
la
Ukristo
linalolenga kurudisha
umoja
kamili kati ya
madhehebu
yake mbalimbali.
Msingi wake ni
imani
inayowaunganisha katika
Yesu Kristo
na kwa njia yake katika
Utatu
mtakatifu, yaani
Mungu
pekee
aliye
Baba
,
Mwana
na
Roho Mtakatifu
.
Neno
linatokana na
Kigiriki
oikoumene
, linalomaanisha kwa asili sehemu ya
dunia
iliyokaliwa na
watu
; hivyo likaja kuwa na maana ya jambo linalohusu waamini
duniani
kote.
Ekumeni ilianza kati ya
Waprotestanti
, hasa lilipofanyika Kongamano la Kimisionari la Kimataifa huko
Edimburg
, mwaka
1910
, ambapo waliohudhuria walisisitiza uhusiano kati ya umoja wa Wakristo na
kazi
ya
uinjilishaji
wa
mataifa
yote.
Mwaka
1937
iliundwa
Halmashauri ya Kiekumeni ya Makanisa
, ikijumlisha hata
Waorthodoksi
. Kwa sasa inawakilisha
robo
tu ya Wakristo wote, kwa sababu
Wakatoliki
na
Wapentekoste
wengi hawajajiunga na muundo huo.
Hata hivyo
Kanisa Katoliki
liliingia kwa nguvu katika
juhudi
za ekumeni kuanzia
Papa Yohane XXIII
(
1958
-
1963
) na
Mtaguso wa pili wa Vatikano
(
1962
-
1965
).
- ↑
"Logo"
. World Council of Chuches
. Iliwekwa mnamo
6 Agosti
2016
.
{{
cite web
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
|
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ekumeni
kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|