ECOSOC ni kifupisho cha Economic and Social Council (of UN) yaani Baraza la Kijamii na la Kiuchumi (la Umoja wa Mataifa). Ilianzishwa mwaka 1945 .