Richard Bruce "Dick" Cheney (amezaliwa 30 Januari 1941 ) ni mwanasiasa wa Marekani . Alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais George W. Bush kuanzia mwaka wa 2001 hadi 2009 .