Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dhamana
(kutoka
neno
la
Kiarabu
) ni
kitu
chochote ambacho
mtu
anaweka au kuwekewa ili kukomboa kitu fulani au kupata huduma fulani.
Dhamana
inaweza kuwa
pesa
,
gari
,
nyumba
na hata chochote kile. Dhamana ipo katika pande nyingi, kwa mfano katika
mahakama
ili mshtakiwa aachiliwe kwa
muda
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Dhamana
kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|