Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Denzel Hayes Washington Jr.
(alizaliwa
Desemba 28
,
1954
) ni
mwigizaji
na mtengenezaji wa
filamu
wa
Marekani
. Amekuwa akizungumziwa sana kama mwigizaji ambaye alirekebisha upya "dhana ya nyota wa sinema ya kawaida" na hivyo kuleta dhana ya kwamba nyota katika filamu anaweza akawa mtu tu wa kawaida lakini mwenye fani na ujuzi tofauti na vile alivyochukuliwa katika jamii.
[1]
Katika kipindi chake chote cha kazi kwa zaidi ya miongo minne, Washington amepokea
tuzo
nyingi, zikiwa ni pamoja na tuzo ya Tony, tuzo mbili za Akademi, tuzo tatu za Golden Globe na Silver Bears mbili.
[2]
Mnamo 2016, alipokea Tuzo ya Mafanikio katika Maisha ya Cecil B. DeMille, na mnamo 2020,
The New York Times
alimtaja mwigizaji bora wa karne ya 21.
[3]
Mnamo 2022, Washington alipokea nishani ya rais ya Uhuru aliyopewa na Rais
Joe Biden
.
[4]
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Denzel Washington
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|