Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Majengo maarufu ya Delhi
Delhi
ni
jiji
kubwa la pili na pia eneo maalumu katika
Uhindi
. Ndani yake uko
mji mkuu
wa Uhindi
New Delhi
. Eneo lake ni
km²
1,484 na
idadi
ya wakazi hukadiriwa kuwa zaidi ya watu milioni 11 (
2011
).
|
---|
Majimbo
| | |
---|
Union territories
| |
---|
Maeneo yanayodaiwa
na nchi jirani
pamoja na Uhindi
| |
---|
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uhindi
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Delhi
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|