Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gaius Messius Quintus Traianus Decius
(takriban
201
? Juni
251
) alikuwa
Kaizari
wa
Dola la Roma
kuanzia
Septemba
249
hadi
kifo
chake.
Alimfuata
Philippus Mwarabu
kwa kumshinda katika pigano la
vita
na kumuua. Baadaye alitawala pamoja na
mwana
wake
Herennius Etruscus
.
Mnamo
mwaka
250
aliagiza
ibada
zitekelezwe na
raia
wote wakitakiwa kutoa
sadaka
mbele ya
sanamu
za
miungu
. Kwa njia hiyo alisababisha
mateso ya Wakristo
wengi waliokataa kutoa sadaka hizo.
|
Makala hii kuhusu
Kaizari
fulani wa
Roma
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kaizari Decius
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|