Dario Fo ( 24 Machi 1926 - 13 Oktoba 2016 ) alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Italia . Mwaka wa 1997 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi .