Daniel Wroughton Craig (amezaliwa tar. 2 Machi 1968 , Chester , Uingereza ) ni mwigizaji filamu anayefahamika zaidi kwa kuigiza kama ' James Bond ' katika filamu tatu alizocheza kuanzia mwaka 2005 hadi leo, ambazo ni ''Casino Royale'' , ''Quantum of Solace'' na ''Skyfall'' .