Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daktari
(au
dokta
; wingi wake unaundwa kwa kutanguliza
ma-
) ni
neno
lenye
asili
ya
Kilatini
("doctor") lililoingia
Kiswahili
kwa kupitia
Kiingereza
. Hutumiwa kwa maana mbili:
1)
Mtaalamu
aliyepata mafunzo maalum kwenye
chuo kikuu
cha kutibu
maradhi
ya
wagonjwa
. Mtu wenye
ujuzi
wa kutibu anaitwa pia
mganga (wa)
,
tabibu (ma)
. Daktari humtibu mgonjwa kwa kutumia
sindano
, kumtundikia
dripu
n.k. baada ya kumpima baadhi ya vitu kama:
2) Kwa kufuata tabia za
lugha
nyingine
daktari
hutumiwa pia kama
jina
la
heshima
kwa mtu aliyepata
shahada
ya
uzamivu
au "PhD" ambayo ni
shahada
ya juu kabisa.
|
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Daktari
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|