Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
DStv
(
kifupi
cha:
Digital Satellite Television
) ni
kampuni
ya kutangaza huduma za
satelaiti
inayomilikiwa na
MultiChoice
.
Huduma hiyo ilizinduliwa
mwaka
1995
na hutoa huduma nyingi kwa wanachama wao, ambao kwa sasa ni
idadi
ya karibu
milioni
11.9. Wengi wa wanachama wako
Afrika Kusini
,
Nigeria
,
Kenya
,
Ghana
,
Angola
,
Zimbabwe
,
Zambia
,
Uganda
,
Mauritius
,
Msumbiji
,
Tanzania
,
Lesotho
,
Ethiopia
,
Jamhuri ya Kongo
,
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
,
Gabon
,
Eswatini
na
Botswana
ambayo pia inahudumiwa na kampuni hiyo.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
uchumi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
DStv
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|