한국   대만   중국   일본 
Dusseldorf - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Dusseldorf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Jiji la Dusseldorf

Bendera

Nembo
Jiji la Düsseldorf is located in Ujerumani
Jiji la Düsseldorf
Jiji la Dusseldorf

Mahali pa mji wa Dusseldorf katika Ujerumani

Majiranukta : 51°14′0″N 6°47′0″E  /  51.23333°N 6.78333°E  / 51.23333; 6.78333
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine Kaskazini-Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - Wakazi kwa ujumla 586.000
Tovuti :   www.duesseldorf.de
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dusseldorf

Dusseldorf ni mji mkuu wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani . Iko kando ya mto Rhine . Idadi ya wakazi wake ni takriban 586,000. Mji ulianzishwa 1135 .

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu .
Je unajua kitu kuhusu Dusseldorf kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .