Harvard ni chuo kikuu maarufu nchini Marekani , kilichoanzishwa mnamo mwaka 1636 katika Cambridge, Massachusetts .