Cheikh Anta Diop ( 1923 - 1986 ) alikuwa mwanahistoria , mwanaanthropolojia na mwanasiasa nchini Senegal .
Aliandika kuhusu utamaduni wa Afrika , hasa kusini kwa Sahara . Alitaka kuandika historia ya Afrika kabla ya ukoloni .