Charles Robert Richet ( 25 Agosti 1850 ? 4 Novemba 1935 ) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ufaransa . Hasa alichunguza vimiminiko vya mwili kama damu , jasho na kadhalika. Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .