Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chanzo
ni
asili
ya
kitu
kinapoanzia au mwanzo wa kitu kinapoanzia, kwa mfano
chanzo cha
mto
.
Pia chanzo huweza kufahamika kama ulipozaliwa, sababu ya kitu kujitokeza, huweza kuwa ni mzizi au taarifa, funda mwandishi au chanzo cha mwanga.
|
Makala hii kuhusu
"Chanzo"
ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
|