Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Catarina Lorenzo
ni
mwanaharakati
wa
hali ya hewa
kutoka
Salvador, Bahia
,
Brazil
.
[1]
[2]
Catarina alizaliwa tarehe
30 Machi
2007
Lorenzo alizaliwa kwa wazazi ambao pia walihusika katika
harakati
za
haki
za
mazingira
.
[3]
Alikua akishiriki katika maandamano ya
amani
yenye dhima ya kulinda
mito
na
misitu
[3]
.
[4]
Mnamo tarehe
23 Septemba
2019
, yeye na watoto wengine 15 wakiwemo
Greta Thunberg
,
Alexandria Villasenor
,
Ayakha Melithafa
, na Carl Smith waliwasilisha malalamiko mbele ya kamati ya
Haki za Mtoto
ya
Umoja wa Mataifa
(United Nations Committee on the Rights of the Child)
kupinga ukosefu wa hatua za
serikali
juu ya shida za
tabianchi
. Hasa, malalamiko hayo yanadai kwamba
nchi
tano, ambazo ni
Argentina
,
Brazil
,
Ufaransa
,
Ujerumani
, na
Uturuki
, zimeshindwa kutekeleza
ahadi
zao za
Mkataba wa Paris
.
[5]
[6]
Hivi karibuni alijiunga na
Greenkingdom
, jumuiya ya kimataifa ya
vijana
iliyoongoza harakati za
mazingira
. Huko anafanya
kazi
kama mratibu wa harakati hiyo nchini
Brazil
. Sasa amejiunga na
mwanaharakati
wa
mazingira
na
mwanaharakati
wa
tabianchi
Sameer Yasin ambaye pia ni
mwanzilishi
wa harakati za vijana.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Catarina Lorenzo
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|