한국   대만   중국   일본 
Busa - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Busa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Busa ni kinywaji cha asili cha Warombo wanaopatikana Kaskazini mwa Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro .

Tofauti na mbege , inatengenezwa kwa mahindi .

Makala hii kuhusu "Busa" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.