Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bogota
(jina kamili:
Santa Fe de Bogota
) ni
mji mkuu
wa
Kolombia
pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi milioni saba takriban.
Mji uko katika nyanda za juu kwenye kimo cha 2,640 m juu ya
UB
kati ya milima ya
Guadalupe
(3,317 m) na
Monserrate
(3,100 m).
Mji ulianzishwa na Mhispania
Gonzalo Jimenez de Quesada
tar.
6 Agosti
1538
kwenye mahali pa soko la Wachibcha lililoitwa "Bacata". Quesada alitumia jina la "Santa Fe" (
kihisp.
: "imani takatifu") kutokana na mji wa
Hispania
alikotokea mwenyewe.
Baadaye mji uliongezewa jina la pili "Bogota" kutokana na jina asilia "Bacata". Jina kamili lilikuwa "Santa Fe de Bogota".
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Amerika Kusini
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Bogota
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|