Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bingol
(
Kizazaki
:
Colig
) (
Kiswahili
: maziwa elfu) ni mji uliopo mjini Mashariki mwa nchi ya
Uturuki
. Hadi kufikia
1950
, mji ulikuwa ukifahamika kwa jina la
Cabakcur
, ikiwa na maana ya maji madhalimu kwa
Kiarmenia
. Huu ni mji mkuu wa
Mkoa wa Bingol
.
Mji umezungukwa na milima na
Mito ya Barafu
, na kufanya liwe jina la kibiashara. Hivi karibuni, mji umepata kuwa kituo mashuhuri cha watalii. Mnamo mwaka wa 2000, mji ulikuwa na idadi ya wakazi wapatao 68,876 waishio huko kwa mjibu wa sensa zao.
|
---|
| |
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Bingol
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|