Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bidii
(kutoka
neno
la
Kiarabu
) ni ile hali ya kuonyesha
juhudi
za dhati katika kufanya jambo fulani, kwa mfano
darasani
. Bidii ya
mtu
inaweza ikamfanya afikie malengo makubwa anayotaka na kujiona yeye ni wa juu. Pamoja na yote hayo sisi
binadamu
huwa tunafanya bidii ili tufikie malengo yetu tunayoyataka.
Kwa kawaida tunaweza kuchochea bidii yetu na ya wengine ama kwa
hamasa
au
motisha
fulani ama kwa kitisho au
adhabu
fulani.