Bernardo Alberto Houssay ( 10 Aprili 1887 ? 21 Septemba 1971 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Argentina . Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza uhusiano kati ya homoni na sukari katika kiumbehai cha wanyama . Mwaka wa 1947 , pamoja na Carl na Gerty Cori alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .