Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya upinde wa mvua
ni
bendera
yenye
rangi
nyingi inayojumuisha rangi za
upinde wa mvua
.
Miundo
hutofautiana, lakini rangi nyingi zinatokana na rangi zionekanazo katika
mwanga
wa rangi za upinde wa mvua.
[1]
[2]
Bendera ya
LGBT
, iliyoanzishwa
mwaka
wa
1978
, ndiyo inayofahamika zaidi kwa matumizi ya bendera ya namna hiyo.
- ↑
Jraissati, Yasmina (2014-06).
"On Color Categorization: Why Do We Name Seven Colors in the Rainbow?"
.
Philosophy Compass
.
9
(6): 382?391.
doi
:
10.1111/phc3.12131
.
ISSN
1747-9991
.
- ↑
Lee, Raymond L. (1991-08-20).
"What are "all the colors of the rainbow"?"
.
Applied Optics
.
30
(24): 3401.
doi
:
10.1364/ao.30.003401
.
ISSN
0003-6935
.