Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yesu akimponya kipofu Bartimeo, kadiri ya
Johann Heinrich Stover
,
1861
.
Bartimayo
ni mmojawapo kati ya wachache ambao tunafahamu majina yao kati ya waliofaidika na
miujiza ya Yesu
, ingawa inawezekana si
jina
lake mwenyewe, bali
ubini
kama lilivyotafsiriwa "mwana wa Timayo".
[1]
Kipofu
huyo alimlilia sana
Yesu
akimuita "
Mwana wa Daudi
", bila kujali makemeo ya watu wengine waliomdharau kama
mkosefu
aliyeadhibiwa na
Mungu
.
Habari yake inasimuliwa na
Injili Ndugu
zote tatu mwishoni mwa
safari
ya
Yesu Kristo
kwenda
Yerusalemu
ili kufa
msalabani
na
kufufuka
(
Mk
10:46-52;
Math
20:29-34;
Lk
18:35-43).
[2]
[3]
[4]
Papa Benedikto XVI
alifananisha
Kanisa
lote na Bartimayo,
kipofu
aliyejaliwa kuona.
[5]
- ↑
Vincent Taylor.
The Gospel according to St. Mark. 1966 St. Martin's Press Inc. p 448.
- ↑
Jesus the Teacher: A Socio-Rhetorical Interpretation of Mark
by Vernon K. Robbins 2009,
ISBN 978-0-8006-2595-5
41-43.
- ↑
Vernon K. Robbins, “The Healing of the Blind Bartimaeus (10:46-52) in the Marcan Theology,” Journal of Biblical Literature 92 (1973), 224-243
[1]
- ↑
Bruce Robison, "Sermon, Sunday, October 25, 2009, Twenty-First after Pentecost, 2009, on Mark 10: 46-52 (RCL Proper 25B)," found at
The Rector's Page
. Accessed October 28, 2009.
- ↑
"Pontiff Urges African Church to Have Courage," October 25, 2009, from
ZENIT's Web page
Archived
16 Machi 2012 at the
Wayback Machine
., found at
catholic.net website
. Accessed October 28, 2009.
|
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Bartimayo
kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|