Bartın ni mji uliopo nchini Uturuki . Kihistoria pia unajulikana kama Parthenios . Bartın ni mji wa Mkoa wa Bahari Nyeusi ya Uturuki . Mji una wakazi wapatao 182,131 (kwa hesabu ya sensa ya mwaka wa 2008). Wilaya za mjini hapa ni pamoja na Amasra , Ulus , Kuruca?ile , na Bartın Merkez ambazo kila moja ni tofauti sana na nyingine.
Jimbo la Bartın lina wilaya 4 (wilaya kuu zimewekewa koze ):