Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barbadosi
ni
nchi ya kisiwani
katika
Bahari ya Karibi
takriban 430
km
kaskazini
-
mashariki
kwa
Venezuela
(
Amerika Kusini
).
Nchi jirani za karibu kuvukia
bahari
ni
Saint Lucia
na
Saint Vincent
upande wa
magharibi
,
Trinidad na Tobago
upande wa
kusini
na
Grenada
upande wa kusini-magharibi.
Barbados ni
kisiwa
cha
Antili Ndogo
. Kwa
urefu
kinafikia
km
34 na kwa
upana
23.
Wakazi ni 277,821, na kwa
asilimia
91 wana
asili
ya
Afrika
, 4% ya
Ulaya
, 1% ya
India
.
Lugha rasmi
ni
Kiingereza
, ingawa wakazi wengi kabisa wanaongea kwa kawaida aina ya
Krioli
inayoitwa
Kibajan
.
Upande wa
dini
, 75.6% ni
Wakristo
, hasa
Waanglikana
(23.9%) na
Wapentekoste
(19.5%). Dini nyingine kwa pamoja zinafikia 3%, kwa kuwa 21% hawana dini yoyote.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Bahari ya Karibi
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Barbadosi
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|