Bangili ni pambo la mviringo linalovaliwa mkononi .
Linaweza kuwa la kawaida au la thamani sana.
Kuna ushahidi kwamba lilitumika tangu zama za shaba (kabla ya mwaka 5000 KK ).