Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Balıkesir
|
|
Eneo katika Uturuki
|
|
Maelezo
|
Eneo
:
|
14,456 km² (Mkoa)
|
Idadi ya watu
:
|
1,076,347(Mkoa)
|
|
215,436 (City)
|
Urefu
:
|
m 70
|
Saa za eneo
:
|
UTC+2
|
Tovuti
:
|
Balikesir Municipality
Archived
5 Desemba 2006 at the
Wayback Machine
.
|
Kodi ya Posta
:
|
10xxx
|
Kodi za Eneo
:
|
0266
|
Ngazi ya Utawala
|
Nchi
:
|
Uturuki
10
|
Meya
|
Sabri U?ur
|
Gavana
|
Selahattin Hatipo?lu
|
Balıkesir
ni mji uliopo katika mkoa wa Marmara katika nchi ya
Uturuki
. Mji una wakazi wapatao 649,623 waishio katika mji huo. Ni kituo kikubwa cha kusafirishi bidhaa zao kwa nchi za nje. Ni kituo mashuhuri kwa watalii wenyeji na wageni, ambao wanaotumia hapo kwa kupelelezea nchi za zipakanazo na mji huo. Sana kwa uzuri wake wa kuwa na Mlima wa Ida (Kaz Da?ı). Huu ni mji mkuu wa
Mkoa wa Balıkesir
.
Karibu kidogo na Balıkesir kulikuwa na mji wa Roma wa Hadrianutherae, uligundulika kwa jina la commemorates, na Dola la Hadrian. Wakati wa umiliki wa
Ufalme wa Byzanti
mji ulikuwa ukijuilkana kwa jina la Palaeokastron (
Kigiriki
: Palaeologus castle).
|
---|
| |
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Balıkesir
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|