Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bahari ya Weddell
ni sehemu ya
Bahari ya Kusini
iliyopo katika
hori
kubwa baina ya
Rasi Antaktiki
na
Nchi ya Coats
. Sehemu kubwa ya eneo lake imefunikwa na
barafu
ya kudumu.
Upana
kwenye
mdomo
wa hori ni karibu
km
2,000, eneo hilo ni karibu
kilomita za mraba
milioni
2.8.
Kina
chake ni baina ya
mita
500 hadi 5,000.
Bahari hiyo ilipewa
jina
la
nahodha
Mwingereza
na
mwindaji
wa
sili
James Weddell
aliyeingia katika
bahari
hiyo mnamo
1823
akafika hadi
latitudo
ya kusini ya 74. Sili wa Weddell ni moja ya
wanyama
ambao wanaishi katika eneo hilo.
Argentina
(nchi iliyo karibu zaidi),
Chile
na
Ufalme wa Muungano
wanashindana kuhusu usimamizi wa sehemu hii.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
|