Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mazingira ya Bahari ya Matumbawe
Bahari ya Matumbawe
Bahari ya Matumbawe
(kwa
Kiingereza
:
Coral Sea
; kwa
Kifaransa
:
Mer de Corail
) ni sehemu ya
Bahari Pasifiki
mbele ya
pwani
ya
kaskazini
-
mashariki
ya
Australia
.
Inapakana na Australia,
Papua Guinea Mpya
,
Visiwa vya Solomon
na
Kaledonia Mpya
.
Tabianchi
ni ya
joto
,
usimbishaji
ni kati ya
milimita
za
mvua
1,000 hadi 3,000 kwa
mwaka
, sehemu kubwa hunyesha baina ya
Desemba
na
Machi
. Siku za
Jua
kuonekana ni kati ya 80 hadi 125 kwa mwaka,
jotoridi
hucheza kati ya
sentigredi
18?27
°C
.
Sehemu hii ya
bahari
huwa imejaa
visiwa
vidogo na
miamba tumbawe
ambayo ndiyo
asili
ya
jina
lake. Mkusanyiko mkubwa zaidi wa miamba tumbawe ni
Great Barrier Reef
mbele ya pwani ya Australia.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Australia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Bahari ya Matumbawe
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|