Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bahari ya Adria
au kwa kifupi "
Adria
" ni
ghuba
ya
Mediteranea
kati ya
Rasi ya Italia
na
Rasi ya Balkani
.
Nchi zinazopakana nayo ni
Italia
upande wa magharibi, halafu
Slovenia
,
Kroatia
,
Bosnia na Herzegovina
,
Montenegro
na
Albania
upande wa
mashariki
.
Adria huelekea
kaskazini
magharibi
kutoka 40°N hadi 45° 45' N.
Urefu
wake ni
km
770 na upana waka kwa
wastani
ni km 160. Sehemu nyembamba ni
mlangobahari wa Otranto
wenye
upana
wa km 85. Eneo lake ni mnamo
km²
160,000.
Mwambao
wa kaskazini una
visiwa
zaidi ya 1,300, hasa mbele ya
pwani
ya Kroatia.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ulaya
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Bahari ya Adria
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|