Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Austria ya Chini
(
kwa
Kijerumani
: Niederosterreich
) ni moja ya
majimbo
9 ya kujitawala ya
Austria
lenye wakazi 1.608.590 kwenye eneo la
km²
19.177.
Mji mkuu
ni
Sankt Polten
.
Waziri mkuu
ni
Johanna Mikl-Leitner
(OVP).
Austria ya Chini imepakana na
Ujerumani
na majimbo ya
Austria Juu
,
Steiermark
,
Burgenland
na
Vienna
.
Miji
mikubwa ni pamoja na
Sankt Polten
na
Wiener Neustadt
.
Danubi
na
Morava
ni
mito
muhimu zaidi.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Austria
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Austria Chini
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|