Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arusi ya Bikira Maria
ni tukio la
maisha
yake ambalo halisimuliwi na
Biblia ya Kikristo
, lakini linaeleweka kwa kuwa anatajwa mara nyingi kama
mke
wa
Yosefu
.
Wachoraji
wengi walitumia mada hiyo kwa kazi zao.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: